Bibi wa miaka 80 ashinda mamia ya medali za kuogelea
BBC News Swahili BBC News Swahili
600K subscribers
639 views
0

 Published On Premiered Apr 28, 2024

Bibi Bakulaben Patel mwenye umri wa miaka 80 ni bingwa wa kuogelea kutoka Surat Magharibi mwa India.

Alianza kuogelea akiwa na umri wa miaka 58 na tangu wakati huo ameshinda karibu medali 500 katika mashindano ya kitaifa na kimataifa.

Pamoja na hamu ya kuwafundisha wengine, anataka kuweka rekodi ya dunia

#bbcswahili #india #mchezowakuogelea

Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili  

show more

Share/Embed