Wanawake wa Thailand wavunja miiko kwa kuchora tatoo za Yantra
BBC News Swahili BBC News Swahili
600K subscribers
1,051 views
0

 Published On Premiered Apr 27, 2024

Kuchora tatoo za Yantra ni suala la utamaduni huko Thailand, ambao unaaminika kuwapa "nguvu za ajabu" za ulinzi na bahati nzuri.

Tatoo za mwili mzima zilikuwa ni mwiko kwa wanawake nchini, lakini Jeeranun na Pimnipa wanapinga na dhana hizo.

#bbcswahili #thailand #sanaa #michoroyamwilini

Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili  

show more

Share/Embed