'Wanafunzi wapo tayari kuweka taaluma zao hatarini' -
BBC News Swahili BBC News Swahili
600K subscribers
956 views
0

 Published On Premiered Apr 26, 2024

Waandamanaji wanaopinga vita vya Gaza wameapa kusalia katika kambi kwenye Chuo Kikuu cha Columbia hadi matakwa yao yatakapotekelezwa, licha ya kukamatwa kwa watu wengi na kuchukuliwa hatua.

Zaidi ya wanafunzi 100 walikamatwa katika kambi ya waandamanaji ya New York City wiki iliyopita, na kufuatiwa na makumi wengine katika vyuo vikuu vingine vya Marekani.

#bbcswahili #Gaza #hamas

Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili  

show more

Share/Embed