Msako mpya dhidi ya wanawake kuhusu hijabu ya lazima Iran
BBC News Swahili BBC News Swahili
600K subscribers
1,366 views
0

 Published On Premiered Apr 21, 2024

Huku mvutano ukiongezeka Mashariki ya Kati, kati ya Israel na Iran, utawala wa kidini pia unawakandamiza wanawake ndani ya Iran.

Kumekuwa na uwepo mpya wa polisi wa maadili wanaokamata wanawake mitaani huku video zikithibitishwa BBC

#bbcswahili #syria #wanawake

show more

Share/Embed