Sherehe ya Kunyoza ya Wabajuni
50 views
0

 Published On Nov 8, 2023

00:00:00 Opening Montage/Mwanzo
00:00:36 The process of Shaving/Taratibu za Kunyoza
00:04:36 Shaving Ceremony/Sherehe ya Kunyoza
00:13:01 Gifts/Kupokeza zawadi

Sherehe ya kunyoza
Siku ya nne huwa kuna kunyoza ambapo yule bwana harusi hunyolewa na kwa kawaida huwa ni sherehe kubwa. Sherehe hii ya kunyoza husimamiwa na Shemeji mkubwa wa bwana harusi.Familia ya mke ndiyo huleta kijembe cha kimnyoza bwana harusi nayo familia ya bwana ndiyo hupokea kijembe hicho. Mwenye kupeleka kijembe cha kunyoza, ni huyo shemeji yake mkubwa wa bwana harusi.
Wakati wa kunyoza, huwekwa sahani hapo, na zile pesa anazotuzwa bwana harusi huwa ni zake yeye ilhali zile ambazo huwekwa kwenye sahani huwa ni za yule shemeji.Kwa kawaida, yule mwenye kuchukua kijembe na kumpelekea shemeji ndiye hupanga nyimbo na kuimba.

#bajuni #magicalkenya #tembeakenya

show more

Share/Embed