Wakazi waagizwa kuondoka eneo la Kijabe
Citizen TV Kenya Citizen TV Kenya
4.79M subscribers
46,983 views
0

 Published On May 7, 2024

Wizara ya usalama sasa imeonya kuwa huenda maporomoko yanayosababishwa na mafuriko yakashuhudiwa katika eneo la Mai Mahiu kwani mvua inaendelea kunyesha katika eneo hilo lililoshuhudia mkasa wiki iliyopita. Waziri Kithure Kindiki sasa ametoa amri familia zote zilizoko katika eneo la hatari zihame kwa hiari jioni hii lau sivyo maafisa wa usalama watatumia nguvu kuwaondoa.

show more

Share/Embed