Published On Premiered Apr 14, 2024
Mnamo Aprili 2014, mji wa kaskazini-mashariki wa Nigeria wa Chibok ulipata umaarufu duniani baada ya kutekwa nyara kwa wasichana 276 wa shule na kampeni ya #bringbackourgirls iliyohusisha watu maarufu duniani .
-
Miaka kumi baadaye, tishio linaloendelea linaloletwa na makundi yenye vurugu bado linadhuru maisha ya watu wengi katika mji huo.
-
''Imepita miaka 10 tangu binti yangu awe mateka na Boko Haram. Haijawahi kuwa rahisi. Watu watasema niendelee, kwamba nina watoto wengine, lakini ninapokuwa peke yangu, ninamfikiria yeye.''
Esther Yakubu anakumbuka jinsi maisha yalivyokuwa magumu bila binti yake Dorcas.