DC KOMBA - ''TUJENGE TABIA ya KUFANYA MAZOEZI ILI KUEPUKA MAGONJWA KAMA SHINIKIZO la DAMU"....
Global TV  Online Global TV Online
4.79M subscribers
227 views
0

 Published On Premiered Apr 27, 2024

DC KOMBA - ''TUJENGE TABIA ya KUFANYA MAZOEZI ILI KUEPUKA MAGONJWA KAMA SHINIKIZO la DAMU"....


Mkuu wa wilaya ya Geita , Hashim Komba amefanya Uzinduzi wa awali wa Geita Fittnes TIme wilayani humo huku akiwataka wananchi wa Mji na Wilaya ya Geita kuwa na tabia ya Kufanya Mazoezi ili kuondokana na Magonjwa ya kuambukiza .

Ameyasema hayo leo wakati wa kuhitimisha zoez hilo katika eneo la Uwanja wa Kalangalala Mkuu huyo amesema mazoezi yanaimalisha seli za Mwili lakini pia wametenga siku moja katika wiki kwa ajili ya Mazoezi ambayo ameamua kuiita Jina la Geita Fittnes Time.

Mganga Mkuu wa Mkoa wa Geita Dkt.Omary Sukari amewapongeza wana Geita kwa kushiriki katika Mazoezi hayo huku akiendelea kuamasisha suala la wananchi kufanya mazoezi na kuzuia kansa, kuzuia shinikizo la Damu na Magonjwa mengine.


Jishindie Zawadi na Global TV

Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
👉🔥👉https://forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7



============================================================
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
⚫️ Email: [email protected]

⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI:    • Habari zote za michezo na Burudani Ta...  
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/

⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

show more

Share/Embed