'Nakumbuka uchangamfu wa wazazi wangu' - Yatima wa Gaza katika sherehe za Eid
BBC News Swahili BBC News Swahili
600K subscribers
1,111 views
0

 Published On Premiered Apr 10, 2024

Takriban watoto 17,000 wa Gaza hawana wamebaki wenyewe au wametenganishwa na wazazi wao, kwa mujibu wa Unicef.

BBC imezungumza na watoto waliobaki yatima kutokana na vita ambao sasa wanaishi kwenye mahema huko Rafah, kusini mwa Gaza.

Layan, 11, anakumbuka jinsi Eid, sherehe ya kuadhimisha mwisho wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, ilivyokuwa nyumbani kabla ya vita.

#bbcswahili #gaza #israel

Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili  

show more

Share/Embed