"Hali yetu ya maisha ipo hatarini, mashamba yetu yote yameangamia na maji"
YouTube Viewers YouTube Viewers
599K subscribers
9,412 views
0

 Published On Premiered Apr 11, 2024

Wakazi wa kata Mohoro wilayani Rufiji wanakabiliwa na hatari ya Magonjwa ya mlipuko kutokana na mafuriko yanayoendelea kuikumba wilaya hiyo

Mpaka sasa tayari watu wawili wamepoteza maisha huku serikali, mashirika na watu binafsi wakiendelea kupeleka misaada ya kibinadamu kuwasaidia waathirika

🎥: @eagansalla_gifted_sounds

#bbcswahili #rufiji #mafurikorufiji
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili  

show more

Share/Embed