'Inasikitisha kuona kanisa langu likiharibiwa'
BBC News Swahili BBC News Swahili
600K subscribers
863 views
0

 Published On Premiered Apr 16, 2024

Wakristo wa Sudan wamejikuta wakinasa katikati ya vita vilivyozuka kati ya jeshi la Sudan na Vikosi vya RSF.

Kumekuwa na madai kwamba Wakristo wamekuwa wakikabiliwa na mashambulizi ya kidini, huku makanisa yakivamiwa na kuharibiwa katika siku za mwanzo za vita.

Mwaka mmoja sasa, wengi wao tayari wameweza kukimbia nchi, lakini wengine bado wanasubiri kuondoka.

#bbcswahili #Sudan #vita

Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili  

show more

Share/Embed