Wakaazi Nairobi wazidi kuhangaishwa na mvua nyingi
Citizen TV Kenya Citizen TV Kenya
4.78M subscribers
43,508 views
0

 Published On Apr 28, 2024

Kaunti ya Nairobi na miongoni mwa kazi zilizoathiriwa zaidi na mafuriko yanayoendelea, ambapo katika kaunti hii pekee, watu 32 wamefariki. Mitaa ya Mathare na Kiamaiko ikiandikisha vifo 16 pekee kufikia leo jumapili. Ben Kirui anaangazia maafa na athari za mafuriko katika baadhi ya maeneo ya Nairobi, ambapo amezuru mitaa ya Embakasi, Utawala na Mathare na kutuandalia taarifa ifuatayo

show more

Share/Embed