Nyaraka za siri jinsi vikosi vya usalama walivyoua vijana waandamanaji
BBC News Swahili BBC News Swahili
600K subscribers
987 views
0

 Published On Premiered May 3, 2024

Baada ya maandamano mjini Tehran Nika Shakarami hakurudi nyumbani kamwe.

Iran ilidai kuwa alijiua. Lakini inayodaiwa kuwa ripoti ya siri inaeleza kuhusu mauaji na taarifa kufichwa na vikosi vya usalama.


#bbcswahili #iran #maandamano
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili  

show more

Share/Embed