Vikosi vya usalama Kenya kwenda Pokot kupambana na majambazi
BBC News Swahili BBC News Swahili
600K subscribers
837 views
0

 Published On Premiered Apr 9, 2024

Rais wa Kenya William Ruto tarehe 8 Aprili aliamuru kutumwa kwa vikosi vya usalama kaskazini-magharibi mwa Kaunti ya Pokot Magharibi kutokana na kuongezeka kwa mashambulizi ya "majambazi".

Caro Robi alizungumza na Gavana wa kaunti ya West Pokot Simon Kachapin kufahamu zaidi kuhusu agizo hilo la Rais na hali ya usalama.

#bbcswahili #kenya #usalama

Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili  

show more

Share/Embed