Miaka thelathini baada ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda
BBC News Swahili BBC News Swahili
600K subscribers
862 views
0

 Published On Premiered Apr 8, 2024

Miaka thelathini baada ya mauaji ya kimbari nchini Rwanda, Victotia anairudia safari iliyojawa na hisia nyingi kwake wakati alipokuwa akitafuta hifadhi salama kutoka mji mkuu Kigali hadi katika mpaka wake na taifa la Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

Akiwa katika safari hiyo, anazungumza na waathirika wa machafuko hayo na waliotekeleza maovu hayo ili kutaka kujuwa jinsi taifa hilo linavyopona kupitia msamaha.

#bbcswahili #rwanda #mauajiyakimbali

Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili    / @bbcnewsswahili  

show more

Share/Embed